Mkuu naona kama wanakopesha mno au kuna namna wanapata sapoti kutoka kwa mashetani bill gates na wenzake wanaoipigia chapuo depopulationHawawezi filisika kamwe, sababu chanjo ni endelevu. Ya kwanza bure za kuendelea na pesa, wanaita booster!
Kivipi mkuuChina inasubiri kwa hamu
Mawazo ya bwana "Kisi"
Hii ni future impossible tense..Kwa wale waliosoma issue za uchumi wajaribu kunielewesha ni kipi kitatokea endapo taasisi tajwa hapo juu zitafilisika ghafla
Je, ni kipi tufanye sisi raia wa kawaida kujiandaa na matokeo ya kufilisika kwa mashirika tajwa hapo juu
Halafu je mpaka sasa korona hajaweza kuzitia misukosuko ya kifedha taasisi hizi za mabeberu
Mkuu ina maana hawa madubwana hawawezi kufulia hata kama dunia itaelemewa kiasi ganiHii ni future impossible tense..
Hawawezi wana reserve kubwa mnoo ya vito vya thamani na madini waliyotuibia kwa bei chee mno.. Na wamewekeza kwenye biashara kubwa kubwa duniani... Halafu wanaidai dunia mabilioni ya dolaMkuu ina maana hawa madubwana hawawezi kufulia hata kama dunia itaelemewa kiasi gani
Sasa ilikuaje yule jamaa kituko wa chattle kuwavimbishia kifua chake chenye betri kwa miaka mitanoHawawezi wana reserve kubwa mnoo ya vito vya thamani na madini waliyotuibia kwa bei chee mno.. Na wamewekeza kwenye biashara kubwa kubwa duniani... Halafu wanaidai dunia mabilioni ya dola
Ndio maana hayupo tena[emoji848][emoji2827]Sasa ilikuaje yule jamaa kituko wa chattle kuwavimbishia kifua chake chenye betri kwa miaka mitano