Nini kitatokea endapo IMF & World bank zikifilisika?

Nini kitatokea endapo IMF & World bank zikifilisika?

Kwa wale waliosoma issue za uchumi wajaribu kunielewesha ni kipi kitatokea endapo taasisi tajwa hapo juu zitafilisika ghafla

Je, ni kipi tufanye sisi raia wa kawaida kujiandaa na matokeo ya kufilisika kwa mashirika tajwa hapo juu.

Halafu je mpaka sasa korona hajaweza kuzitia misukosuko ya kifedha taasisi hizi za mabeberu.
Kwa mm Imperialists nations ndio zitaathirika.
Ila waafrika hatujaona namna ya sisi kuathirika badala yake huwenda tukaokoka na chombo dhalimu cha kifedha ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom