JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 476
Vyakula ni vingi sana vya muhimu mtoa mada anataka kuviachaKwahiyo ulichoacha hapo ni wangu sio?
Ni jambo la muhimu kula chakula Bora!Ukijaribu kufanya hivyo, hakika utaishi maisha marefu sana hapa duniani. Na usiishie kwenye matunda tu. Kula pia na vyakula vingine vya asili!
Halafu haya mabaga, machokoleti, makange, michemsho, na mazaga zaga mengine; waachie wale walioamua kuishi maisha matamu halafu mafupi.