Nini kitatokea katika maisha yangu iwapo nitaamua kuishi kwa kula matunda, mboga za majani, nyama na maji?

We shindia matunda, ukianza kuchapiwa kwa kwenda mbele usije kutupigia kelele humu.
 
Ukijaribu kufanya hivyo, hakika utaishi maisha marefu sana hapa duniani. Na usiishie kwenye matunda tu. Kula pia na vyakula vingine vya asili!

Halafu haya mabaga, machokoleti, makange, michemsho, na mazaga zaga mengine; waachie wale walioamua kuishi maisha matamu halafu mafupi.
 
Ni jambo la muhimu kula chakula Bora!
 
Back
Top Bottom