Nini kitatokea Msimbazi kama Simba akifungwa leo?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Habari wakuu,

Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana.

Unahisi nini kitatokea endapo Simba Sc atafungwa na Yanga kwenye game ya fainali ya leo?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sio wa uto manake ni rafiki wa gsm
Kweli
FB_IMG_16267989696416620.jpg
 
Habari wakuu,

Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana.

Unahisi nini kitatokea endapo Simba Sc atafungwa na Yanga kwenye game ya fainali ya leo?
Hakuna kitakachotokea maana Yanga kichwa ngumu chao kitawaponza. Tumewashauri waiende kwa kisingizio chua corona ili wasiadhirike
 
Ili jambo liwe Jepesi kwa Manara, Simba akiibuka bingwa basi watayamaliza ndani ya Club na Watasema ile ilikuwa ni mind game ya kuwamaliza Yanga
 
Habari wakuu,

Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana.

Unahisi nini kitatokea endapo Simba Sc atafungwa na Yanga kwenye game ya fainali ya leo?
Simba ikifungwa leo, MO na Barbara watafukuzwa halafu Manara atateuliwa kuwa CEO wa Simba.
 
Habari wakuu,

Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana.

Unahisi nini kitatokea endapo Simba Sc atafungwa na Yanga kwenye game ya fainali ya leo?
Hakuna kitakachotokea simba ni timu kubwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom