Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hakuna mechi kwa sababu mkuu wa mkoa wa Kigoma amekataza mikusanyiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You know nothing
Ipo itafute vzr tuuMbona sioni thread ya mechi ya Simba na Yanga ya leo ?
Washabiki wa Yanga wakirudi Dar kwa mkokoteni baada ya kukeketwa kule Kigoma
Naona mmeo Simba kakupakata kimoja
Mzee Mpili na yeye analo la kujibu, ikiwa Yanga kafungwa
Daah mkuu ChamasonMorisonBwalyason huyu mzee kama hakutengeneza pesa mwanzo kutembelea upepo uliokuwepo basi ni zamu yake kurudi kibiti akaendelea na kazi yake kukata magoviVipi kuna chochote kutoka kwa mzee mpili