Nini kitatokea Polisi wakiruhusu Maandamano ya CHADEMA?

Nini kitatokea Polisi wakiruhusu Maandamano ya CHADEMA?

Hivi huyu Lucas ana umri gani,naona ana utoto mwingi kama kuna jukwaa la watoto ingependeza nyuzi zake zote zihamishiwe huko,analichafua tu Jukwaa la Siasa.
Hicho ni kizazi kitokanacho na mikesha ya mwenge
 
Habari JF , hivi nini kitatokea CDM wakiruhusiwa waandamane ?

Mbona ni kama maisha yataendelea hawata kuwa na madhara yoyote na Rais Samia atapata points za kuwa mwana demokrasia .

Binafsi sioni haja ya Polisi kutumia nguvu waachwe tu .
Rais ana ziara Vatican City na Norway mwezi huu aende huku policcm wametia watu vilema?
Angepata mapokezi ya hovyo kama sio kufutwa ziara
 
Back
Top Bottom