Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana chief, umepangiwa halmashauri !Habari wana Jukwaa nina maswali kadhaa ambayo nimekutana nayo kwa watu wa karibu nikaona niwashirikishe kupata mawazo yenu.
1. Hivi ukiitwa kuchukua barua ya kupangiwa kituo cha kazi na usipoenda kuchukua, zikitokea kazi nyingine unaweza kuomba au unazuiwa kuomba tena kazi Utumishi?
2. Ukiitwa kuchukua barua unaweza kuwaomba wakubadilishie Taasisi au ndo mpaka usibir miaka 3 ya kuomba kuhama kituo cha kazi ?
NB: nimeuliza kwa Niaba ya mtu