Nini kitatokea usipochukua Barua ya Kazi Utumishi?

From my experience wasiochukua kabisa barua hawakutani na changamoto wakati wa kuapply kazi nyingine...ila ukichukua barua ukaripoti ulikopangiwa halafu ukaingia mitini ukiapply badala ya kupata interview namba utajibiwa PLACED kwa miezi kadhaa
 
pole sana chief, umepangiwa halmashauri !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…