Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Viongozi wa Chadema wamezuiwa kushiriki siasa kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya kila raia kuchagua na kuchaguliwa! Sasa endapo watashiriki kusikiliza kampeni ya mgombea yeyote yule litakuwa ni kosa la jinai?
Watanzania tuna majaji wa aina gani wanaovunja katiba ya nchi ili mradi kuinusuru CCM! Tupaze sauti. Kila nikikumkumbuka Chande aliyewahi kuwa jaji mkuu akimlalamikia Magufuli kuhusu vimemo vya hukumu vinavyowapa majaji wakati mgumu kutekeleza hukumu kisheria, najiuliza ni wangapi wametokomezwa bila makosa?