Nini kuliikumba wasafi.com?

Nini kuliikumba wasafi.com?

Twinawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2016
Posts
2,431
Reaction score
5,336
Nakumbuka hii platform ilikuja vizuri tukishuhudia wasanii wakipewa mikataba mizuri ya kuuza kazi zao wasafi.com

Cha kushangaza hi site haipatikani nini kiliikumba?

IMG_20200302_223138.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahn jana nimenunua nyimbo ya Zaidii kwenye mkito.com

sasa sijui kati ya mkito.com ambayo ipo hewani na wasafi.com ambayo haiko hewani ni ipi imekufa hasa.
Zote mbili zimekufa mbongo anaona possibility ya kupata wimbo bure alafu eti anunue wimbo sio kwa wabongo
 
Back
Top Bottom