Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake?

Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake?

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
2,079
Reaction score
2,254
Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake? Mwenye majibu anieleweshe, bado mgeni hapa mjini
 
Ni historia ya kale sana wazungu waliposhindwa kucheza dansi kwa nguo ndefu na za kubana ndipo mmoja akavumbua skirts na kufuata mpasuko baadae
Bisheni sasa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ni kwa ajili ya urembo pia! Ukute huyo kiumbe ana umbo lililo nona kidogo, rangi ya mtume from Dubai, miguu mizuri, mirefu na nyororo isiyo na doa, nyuma kavungasha kudogo, 😋😋 Hakika unaweza kuvamia benki ili uweze tu kumtunza.
 
Aisee
 
Ni historia ya kale sana wazungu waliposhindwa kucheza dansi kwa nguo ndefu na za kubana ndipo mmoja akavumbua skiet na kufuata mpasuko baadae
Bisheni sasa

Sent from my iPhone using Tapatalk
Umenikumbusha movie moja ya rambo alikuwa na dem anatoroka nae...sasa dem alivaa nguo inambana hivi..rambo akaamua kuipasua katikati na kuifanya kama suruali hivi
 
Back
Top Bottom