Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake?

Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake?

Ni kwa ajili ya balance wakati wa kutembea ndo maana solo hazina ukitaka uelewe zaidi mwangalie mdada aliyevaa hizi gauni ndefu za mpira anavyotembea kwa shida hawez kupiga hatua ndefu
 
Ni kwa ajili ya urembo pia! Ukute huyo kiumbe ana umbo lililo nona kidogo, rangi ya mtume from Dubai, miguu mizuri, mirefu na nyororo isiyo na doa, nyuma kavungasha kudogo, [emoji39][emoji39] Hakika unaweza kuvamia benki ili uweze tu kumtunza.
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Balances ktk upigaji wa hatua wakati wa kutembea
 
Back
Top Bottom