Nini lengo la mpasuo kwenye sketi za wadada/wanawake?

Umenikumbusha movie moja ya rambo alikuwa na dem anatoroka nae...sasa dem alivaa nguo inambana hivi..rambo akaamua kuipasua katikati na kuifanya kama suruali hivi

[emoji3]


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
duh
Ni historia ya kale sana wazungu waliposhindwa kucheza dansi kwa nguo ndefu na za kubana ndipo mmoja akavumbua skiet na kufuata mpasuko baadae
Bisheni sasa


Sent from my iPhone using Tapatalk
duh ule mpasuo nao kumbe mzungu kagundua
 
Ni kwa ajili ya balance wakati wa kutembea ndo maana solo hazina ukitaka uelewe zaidi mwangalie mdada aliyevaa hizi gauni ndefu za mpira anavyotembea kwa shida hawez kupiga hatua ndefu
 
Ni kwa ajili ya urembo pia! Ukute huyo kiumbe ana umbo lililo nona kidogo, rangi ya mtume from Dubai, miguu mizuri, mirefu na nyororo isiyo na doa, nyuma kavungasha kudogo, [emoji39][emoji39] Hakika unaweza kuvamia benki ili uweze tu kumtunza.
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Balances ktk upigaji wa hatua wakati wa kutembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…