mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
Mbona hata hawafanyi kitu ?
unataka uwakute wanachocheana piston ya train ndo utafanya maamuzi?Mbona hata hawafanyi kitu ?
huoni kwa sababu wamejifunika. Lol
unataka uwakute wanachocheana piston ya train ndo utafanya maamuzi?
hivi eeeh!!!Kabisa ..
Maana hapo yaonekana walikuwa wanapiga
Tu story hapo zamani za kale kulikuwa.....
hivi eeeh!!!
hapo zamani za kale.........chumbani ......kitandani, without a shirt on........ndani ya bed sheets
Aseeee!!! hebu nitunuku hiyo nafasi........!!!
hahahahahaaaa!!!!Nafasi tayari unayo mamake ....
Au wanakumbushana Vita vya majimaji tu.