Nini maamuzi yako hapo

Nini maamuzi yako hapo

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
ni nini maamuzi yako hapo
316405_295733840440814_100000126027936_1393801_1092457197_n.jpg
 
hapo mi nawaambia waendelee wakati naona then wakimaliza namwambia jamaa aondoke then naendelea na shughuli zangu kama kawaida hapo nahisi mke anaweza kuhama mwenyewe kwa aibu
 
unaondoka chumba cha pili na huyo mgeni unaenda kumkameruni na ukirudi unapiga kimya na unaendelea na maisha kama kawa.
 
Kusuka au kunyoa..AU Nitawaambia endelea na kazi mkimaliza naomba mniambie..
AU yawezeka huyo dada anasema UNACHONUNUA KWA WENGINE NDO NAUZA KWA WENGINE LOLLL
 
Unatakiwa kufanya maamuzi magumu, unawaambia wafungashe waondoke wote!
 
Kabisa ..
Maana hapo yaonekana walikuwa wanapiga
Tu story hapo zamani za kale kulikuwa.....
hivi eeeh!!!
hapo zamani za kale.........chumbani ......kitandani, without a shirt on........ndani ya bed sheets

Aseeee!!! hebu nitunuku hiyo nafasi........!!!
 
hivi eeeh!!!
hapo zamani za kale.........chumbani ......kitandani, without a shirt on........ndani ya bed sheets

Aseeee!!! hebu nitunuku hiyo nafasi........!!!

Nafasi tayari unayo mamake ....
Au wanakumbushana Vita vya majimaji tu.
 
bora kushare na malaya wa mtaan kuliko kua na mlezi malaya mama maana na watto nao watafa mkumbo!
 
Back
Top Bottom