Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
Wadau naomba mnijuze maana halisi ya BRN.
Maana naona kama linatumiwa na watu ndivyo sivyo. Badala ya kuwa in positive way sasa linatumika in Negative way.
Hebu tujuzane wakuu nawasilisha.
ZINGATIA;Kashfa na vijembe haviruhusiwi jibu Hoja kwa hoja na sio Hoja kwa viroja.