samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Habari za mchana wazee,
Hii kitu inani confuse sana hivi nini maana halisi ya wanaume wa Dar kama inavyotumika na watu wengi?.Je ni wanaume wazaramo (maana hawa ndio wenye asili ya Dar) au kuna maana nyingine?
Kila jambo la kustaabisha kwa mwanaume utasikia huyo mwanaume wa Dar
Wajuzi wa mambo hizi toeni ufafanuzi please!