Nini maana halisi ya mwanaume wa Dar?

samuel faraj

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
1,326
Reaction score
1,265
Habari za mchana wazee,

Hii kitu inani confuse sana hivi nini maana halisi ya wanaume wa Dar kama inavyotumika na watu wengi?.Je ni wanaume wazaramo (maana hawa ndio wenye asili ya Dar) au kuna maana nyingine?

Kila jambo la kustaabisha kwa mwanaume utasikia huyo mwanaume wa Dar

Wajuzi wa mambo hizi toeni ufafanuzi please!
 
Mwanaume wa dar ni yule mwanaume laini laini kwa hiyo unaweza kuwa mwanaume wa dar lakini ukiwa mgumu basi wewe bila shaka unasajiriwa kama mwanaume wa mkoani.
 
Mwanaume wa dar ni yule mwanaume laini laini kwa hiyo unaweza kuwa mwanaume wa dar lakini ukiwa mgumu basi wewe bila shaka unasajiriwa kama mwanaume wa mkoani.
anhaa kumbe so hata wa mkoani akiwa laini laini anakua mwanaume wa Dar?
 
Pia wanavaa suruali za kike na tupensipensi
 
Mwanaume wa dar ni yule mwanaume laini laini kwa hiyo unaweza kuwa mwanaume wa dar lakini ukiwa mgumu basi wewe bila shaka unasajiriwa kama mwanaume wa mkoani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ok ok ok thank your chairman, a lot of people and oxygen consumers. Thi is the debate which is interesting.

This is the problem is very big dont joke even a little more, we humans of dar is very very educated and you humans of regions are not want to believing it.

You is taking this faaaaaar, takin't you?
 
Mwanaume wa dar ni yule anayeishi dar na kulowea kabisa huko na kuanza kufuata tabia za kidar dar. Kwao mkoani anaenda wakati wa misiba tu na akinunua gari mpya ili wamuone mambo swafi
 
sikubaliani na point ya kuishi dar eti uwe mgumu mgumu, maisha ya hapa ni tofauti na mkoani

yaani KUISHI DAR KUNA HITAJI AKILI MINGI NA NGUVU KIDOGO lakini mkoani mambo vice versa
NGUVU NYINGI AKILI KIDOGO

Kuhusu wanaume kuvaa visuruali vya kike nadhani ni watoto wa shule huwezi kuta mtu mzima na akili zake anafanya ujinga huo though hata vitoto vya shule mikoani trend ni hiyo hiyo
 
Ukishajua itakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…