Kama ni ya Mchana ni mawenge tuu,kama ni ya usiku jua utafanikiwa sana ila inaonyesha uchoyo,Hawa kama ulivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu!Wasalaam,kuota ni kawaida kibinadamu.Ila natamani nijue maana hii ndoto.
Nimeota nimeshika Hot Pot ina Pilau nzuri sana.Nikawa napita njiani watoto wadogo wananifuata wanataka niwape.
Nikawa nawapa kidogo ila bado wanataka na wananifuata.
Wadau nini maana yake