Akili ni uwezo wa ubongo wako kufanya kazi. Kama akili yako ina ubora wa juu utakua unafanya maamuzi yenye tija kila wakati.Naomba msaada kwa mwenye uelewa anisaidie (Kwa lugha rahisi) kuelezea maana na tofauti ya maneno haya (Akili, Nafsi na Roho). Ikiwezekana kwa mifano halisi au kama kuna vitabu au tovuti ambayo inaweza kuelezea kwa kina dhana hizi za Akili, Nafsi na Roho. Nimeyasikia maneno haya mara kadhaa nahisi wakati mwingine nayachanganya kwenye kuelewa na matumizi yake. Pia kama naweza kupata tafsiri yake kwa Kiingereza nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Mbarikiwe sana
kwa kifupi safari ya maisha ya mwadamu imetokea mbali sana, yaani zamani sana na katika safari hii mambo mengi yamezaliwa njiani ikiwemo imani na sayansi.Naomba msaada kwa mwenye uelewa anisaidie (Kwa lugha rahisi) kuelezea maana na tofauti ya maneno haya (Akili, Nafsi na Roho). Ikiwezekana kwa mifano halisi au kama kuna vitabu au tovuti ambayo inaweza kuelezea kwa kina dhana hizi za Akili, Nafsi na Roho. Nimeyasikia maneno haya mara kadhaa nahisi wakati mwingine nayachanganya kwenye kuelewa na matumizi yake. Pia kama naweza kupata tafsiri yake kwa Kiingereza nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Mbarikiwe sana
Akili ndio nafsi.Naomba msaada kwa mwenye uelewa anisaidie (Kwa lugha rahisi) kuelezea maana na tofauti ya maneno haya (Akili, Nafsi na Roho). Ikiwezekana kwa mifano halisi au kama kuna vitabu au tovuti ambayo inaweza kuelezea kwa kina dhana hizi za Akili, Nafsi na Roho. Nimeyasikia maneno haya mara kadhaa nahisi wakati mwingine nayachanganya kwenye kuelewa na matumizi yake. Pia kama naweza kupata tafsiri yake kwa Kiingereza nitashukuru sana kwa msaada wenu.
Mbarikiwe sana
Ume dadavua vzr sana mkuuAkili ni uwezo wa ubongo wako kufanya kazi. Kama akili yako ina ubora wa juu utakua unafanya maamuzi yenye tija kila wakati.
Nafsi yako ni wewe mwenyewe mwili na akili yako. Yaani mawazo unachoamini unachosema.
Roho inaishi ndani ya mwili ni sehemu ya nafsi yako. Ni ule uhai na kujitambua ambao kwenye dini wanaamini ukifa mwili roho haifi inaenda mbele ya mwenyezi mungu kwa hukumu.
Ukweli wa kisayansi roho inaishi ndani ya mwili wa binadamu. Ni kule kujitambua ambao viumbe wengine hawana. Kisayansi ukifa roho yako nayo inakufa kwa sababu haiwezi kuishi nje ya mwili wako na ndio mwisho wako. Kama kabla ya kuzaliwa hukuepo duniani ukifa kisayansi unakua haupo kama kabla hujazaliwa.
Ukizaliwa hujitambui kama wanyama wengine. Polepole akili yako tofauti na wanyama inakua haraka hadi unakua na ufahamu na kujitambua. Unapata nafsi.