GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Wakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri.
Maswali yangu ni
Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda wote?
Je kwa mwezi litatumia units ngapi?
Karibuni wakuu.