Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Au inategemea na brand au hizi za kisasa ndo zinakufa compressor? Nina LG hapa tangu 2009 nadhani inaongoza kwa kuzimwa na kuwasha Tanzania nzima lakini bado inadundaHapa umesema ukweli na ikiwashwa frequently ya mbongo lazima ife compressor within six months chali, kisu mtu anakwangulia barafu kwenye friji hajasoma user manual inasemaje