GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Friji ya mzungu haizimwi ya wabongo inawashwa kwa machaleUpo sahihi, izo ni estimate za units ambazo fridge lako linaweza kutumia kwa mwaka.
kWh moja sawa na unit 1.
Ambayo ni approximately unit 10 kwa mwezi, au tuseme Tsh 3,500/= kwa mwezi.
Tatizo muda mwingi liko empty. Na likijaa mazaga ni maji ya kunywa, nyanya, karoti na mchicha.Friji ya mzungu haizimwi ya wabongo inawashwa kwa machale
Kuna ukweli ukiwa unawasha na kuzima ndio linatumia umeme zaidi.Upo sahihi, izo ni estimate za units ambazo fridge lako linaweza kutumia kwa mwaka.
kWh moja sawa na unit 1.
Ambayo ni approximately unit 10 kwa mwezi, au tuseme Tsh 3,500/= kwa mwezi.
Ndio. Ata AC ya gari ivo ivo. Washa set desired temp acha.Kuna ukweli ukiwa unawasha na kuzima ndio linatumia umeme zaidi.
Mkuu hivi hizi za Hisense Consumption yake ikoje aseeTatizo muda mwingi liko empty. Na likijaa mazaga ni maji ya kunywa, nyanya, karoti na mchicha.
Lilikua brand gani.Wakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri.
Maswali yangu ni
Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda wote?
Je kwa mwezi litatumia units ngapi?
Karibuni wakuu.
HisenseLilikua brand gani.
Ninavyo jua hiyoWakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri.
Maswali yangu ni
Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda wote?
Je kwa mwezi litatumia units ngapi?
Karibuni wakuu.
Hapa umesema ukweli na ikiwashwa frequently ya mbongo lazima ife compressor within six months chali, kisu mtu anakwangulia barafu kwenye friji hajasoma user manual inasemajeFriji ya mzungu haizimwi ya wabongo inawashwa kwa machale
Langu hilo nawasha kubust kinywani kama kuna mgeni (unaiweka kwenye friza ipoe mapemaFriji ya mzungu haizimwi ya wabongo inawashwa kwa machale
Na kipolo cha waliTatizo muda mwingi liko empty. Na likijaa mazaga ni maji ya kunywa, nyanya, karoti na mchicha.
Unamiliki Restaurant?Friji halizimwi. Home kwangu hatujawahi kuzima friji
Au kuna iki mtu anajaza vitu mpaka pomoni.Hapa umesema ukweli na ikiwashwa frequently ya mbongo lazima ife compressor within six months chali, kisu mtu anakwangulia barafu kwenye friji hajasoma user manual inasemaje
Ndio anaiua hivyo storage capacity unaambiwa ni kiasi fulani unajaza kupitilizaAu kuna iki mtu anajaza vitu mpaka pomoni.
HapanaUnamiliki Restaurant?