Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Au inategemea na brand au hizi za kisasa ndo zinakufa compressor? Nina LG hapa tangu 2009 nadhani inaongoza kwa kuzimwa na kuwasha Tanzania nzima lakini bado inadundaHapa umesema ukweli na ikiwashwa frequently ya mbongo lazima ife compressor within six months chali, kisu mtu anakwangulia barafu kwenye friji hajasoma user manual inasemaje
Huwa inafikia stage unakuta vitu havipoi, unafanya ku-adjust joto wapi unachukua user manual labda kuna sehemu umekosea wapi.Au kuna iki mtu anajaza vitu mpaka pomoni.
Nimesema tofauti na ulivyosemaAu inategemea na brand au hizi za kisasa ndo zinakufa compressor? Nina LG hapa tangu 2009 nadhani inaongoza kwa kuzimwa na kuwasha Tanzania nzima lakini bado inadunda
Mie nimeuliza swali la ufahamu, kuna kiulizo hapo kutaka kujua, sema swali limeambatana na user experience, ignore hayo maelezo baada ya swaliNimesema tofauti na ulivyosema
Brand haina shida shida ni the way unaitumia hata gari ukiitumia kinyume na matumizi inakua mkweche within a short period of timeMie nimeuliza swali la ufahamu, kuna kiulizo hapo kutaka kujua, sema swali limeambatana na user experience, ignore hayo maelezo baada ya swali
NimekupataBrand haina shida shida ni the way unaitumia hata gari ukiitumia kinyume na matumizi inakua mkweche within a short period of time
Achana na mafriji yetu mkuu🤣🤣Tatizo muda mwingi liko empty. Na likijaa mazaga ni maji ya kunywa, nyanya, karoti na mchicha.
Brand ina maana yake. Samsung wanazo friji fulani wanakupa warranty ya miaka 10 ya compressor, hao kina Alitop ba Haier wanajua hufiki mbali, warranty yao 12 months wakijikaza sana 24 months.Brand haina shida shida ni the way unaitumia hata gari ukiitumia kinyume na matumizi inakua mkweche within a short period of time
Hii friji ni lita ngapi au haina freezer ni mlango mmoja. Maana inakula umeme mdogo sana.Wakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri.
Maswali yangu ni
Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda wote?
Je kwa mwezi litatumia units ngapi?
Karibuni wakuu.
1 kwh. = 1000whWakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri.
Maswali yangu ni
Je hizo ndizo units za umeme jokofu hili litatumia kwa mwaka mzima likiwashwa muda wote?
Je kwa mwezi litatumia units ngapi?
Karibuni wakuu.