Nini maana ya 'Afisa kipenyo'?

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Habarin za asubuhi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema, afisa kipenyo maana yake nini?
 
Kuna rafiki yangu yupo kaliua anaitwa mpenyauke
 
Mtu yoyote mwenye ncha kali na mwenye uwezo wa kupenya au kupenyezwa popote penye upenyo.
Anaweza jipenyeza au penyezwa hata nyumbani kwako, ofisini kwako, mtaani kwako, kazini kwako, nchini mwako, chamani kwako ...yaani popote.
 
Yaani anapenyezwa for some covert mission?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…