Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Habarin za asubuhi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema, afisa kipenyo maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tuseme anaweza asiwe na taaluma ya hiyo kitu lakin anapelekwa tu au?Anapenyezwa sehemu yoyote kwa kazi maalum
Si atastukiwa!Yaani tuseme anaweza asiwe na taaluma ya hiyo kitu lakin anapelekwa tu au?
Hebu toa mfano qa afisa vipenyo wa serikalini kwetu
Hebu toa mfano basi bwana ChiefSi atastukiwa!
Mh, hebu fafanua vzuriAfisa chok
Ni wale wakalaa wa vipimo wanaotengeneza mizani.Habarin za asubuhi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema, afisa kipenyo maana yake nini?
Braza mi nipo serious ujue 🙄🙄😀Ni wale wakalaa wa vipimo wanaotengeneza mizani.
🙄🙄😲
Yaani anapenyezwa for some covert mission?Mtu yoyote mwenye ncha kali na mwenye uwezo wa kupenya au kupenyezwa popote penye upenyo.
Anaweza jipenyeza au penyezwa hata nyumbani kwako, ofisini kwako, mtaani kwako, kazini kwako, nchini mwako, chamani kwako ...yaani popote.
We Adrian Stepp unacheka nn?Kwani Membe amepenyezwa wapi kaka?
EwaaaaaYaani anapenyezwa for some covert mission?
Ok gotchaaa!Ewaaaaa
Diametric officer! Anakatisha katikati ya duara nusu kwa nusu!Habarin za asubuhi wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema, afisa kipenyo maana yake nini?
Ama kweli!Diametric officer! Anakatisha katikati ya duara nusu kwa nusu!