Nini maana ya Ashakum si Matusi?

Nini maana ya Ashakum si Matusi?

Hii siledi ya zamani lakini nimecheka kidogo😂😂😂😂

Sent from my cupboard using mug
 
Wadau wa lugha naomba kujuzwa nini maana ya "Ashakum si Matusi"? Au hii sentensi inatumikaje?
Kauli hii hutumika pale unapokubali kukiri madhaifu yako au MTU anapozungumza Mambo ya aibu au fedheha lakini huo ndio ukweli na uhalisia.

Mfano, ashakum si matusi, dada yule ni bora alivyokufa kwa kuwa aligharim maisha ya wengi.
 
Back
Top Bottom