Nini maana ya chitchat, ndoa za humu zinamaanisha nini

unataka maelezo gani!?

Swali halina mipaka mume wangu so jimwage tu na majibu..
Hii ni ndoa yenye baraka na maelezo zaidi ilifungwaje Baba V ataweza kukujibu...

Baada ya kupendana na Filipo kwa muda tangu 2006 Chit Chat ilivyoanzishwa tukiwa kama Guests tuliona ni busara kuupeleka uhusiano wetu hatua kadhaa mbele...... Mnamo 6th Jan 2011, tulifanya yaliyotupasa kuyafanya na tunamshukuru Mungu ndoa yetu bado inasonga mbele.... Muda sio mrefu tutatekeleza ile amri ya Kuongezeka na kuijaza Dunia... Migongano ipo, lakini nachukulia kama ni changamoto za ndoa tu... Lazima majaribu yawepo ili tujue shock absorber za ndoa zinaweza kuhimili kwa kiasi gani.... .
Kuaminiana ni jambo la msingi kuliko mengine yote... Be blessed

Kama kuna mengine, mume wangu atayaongezea.......
 
Last edited by a moderator:

asante kwa huu mfano wa kuigwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…