Nini maana ya chitchat, ndoa za humu zinamaanisha nini

Du hili swali gumu kwa kweli.. Lkn nadhani ulimwengu wa keyboard sometimes unakuwa real.Ngoja wenye experience zao waje watuelezee.
 
Du hili swali gumu kwa kweli.. Lkn nadhani ulimwengu wa keyboard sometimes unakuwa real.Ngoja wenye experience zao waje watuelezee.

nami ndo nawasubiria lakini walivyouchuna utadhani walilazimishwa hizo ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…