Nini maana ya chitchat, ndoa za humu zinamaanisha nini


umesema yote mke wangu! Kama hajaelewa tena, atakuwa ana yake!! You are so brilliant and you're my everlasting wife! I love you mno!!!
 
Last edited by a moderator:
ni jukwaa la watu waliokata tamaa na maisha........watu waliokata tamaa na maswala ya kimaendeleo na mambo ya kimapinduzi wakaamua tu kujistarehesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…