Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Competent student can be defined as the Joseverest a JF member who used to be and still the very very first to contribute in any thread created in JF.eti competent student ana sifa zipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Competent student can be defined as the Joseverest a JF member who used to be and still the very very first to contribute in any thread created in JF.
eti competent student ana sifa zipi?
Acha chuki na wanafunz wa udsm mkuu daaahNi mwanafunzi anaye elewa alichokisomea na mwenye kujitambua si kama hawa wanafunzi wetu wa UDSM, wao kila kitu ni kukariri tu na hawajitambui.
Acha chuki na wanafunz wa udsm mkuu daaah
Mkuu yaan unaonesha wazwaz ulivo na chuki sana Ina maana wanafunz wa udsm hawajitambui??? Mkuu hivi unachokiongea unakielewa lakini hivi unaweza maliza kusoma usijue nini unachofanya... NB; 90% ya watu waliosoma nje ya udsm wanwavika sifa mbaya sana wa udsm kila sehem udsm wanachukiwa sijajua kwann kila sifa mbaya ni yao aiseee tusiwekeane chuki kisa tofauti ya vyuo tulivosoma tupige kaziSio chuki mkuu, ulishaona mwanafunzi wa UDSM anajitambua? Mtu anamaliza shule hajuwi anachokifanya, maana hawana ujuzi/uwezo wa kufikiri outside the box.
Udsm ilikuwa ya karne ya 20 sahizi imebaki storyMkuu yaan unaonesha wazwaz ulivo na chuki sana Ina maana wanafunz wa udsm hawajitambui??? Mkuu hivi unachokiongea unakielewa lakini hivi unaweza maliza kusoma usijue nini unachofanya... NB; 90% ya watu waliosoma nje ya udsm wanwavika sifa mbaya sana wa udsm kila sehem udsm wanachukiwa sijajua kwann kila sifa mbaya ni yao aiseee tusiwekeane chuki kisa tofauti ya vyuo tulivosoma tupige kazi
Mmetoka nje ya mada acheni kubishana mashudu jibuni swali[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ni mwanafunzi anaye elewa alichokisomea na mwenye kujitambua si kama hawa wanafunzi wetu wa UDSM, wao kila kitu ni kukariri tu na hawajitambui.
Sio chuki mkuu, ulishaona mwanafunzi wa UDSM anajitambua? Mtu anamaliza shule hajuwi anachokifanya, maana hawana ujuzi/uwezo wa kufikiri outside the box.
Awe fast kama joseverest
Pole sana mkuu kwa mawazo yako yasiyo na ukweli wowoteUdsm ilikuwa ya karne ya 20 sahizi imebaki story
Ni mwanafunzi ambae ana uelewa wa juu/mzuri kwa alichosomea kwa nadharia na vitendo, na ana uwezo wa kupambana/kushindana kiuwezo na wanafunzi wenzie wa fani moja ila wanaotoka either vyuo tofauti au mpaka nchi tofautieti competent student ana sifa zipi?
Mkuu yaan unaonesha wazwaz ulivo na chuki sana Ina maana wanafunz wa udsm hawajitambui??? Mkuu hivi unachokiongea unakielewa lakini hivi unaweza maliza kusoma usijue nini unachofanya... NB; 90% ya watu waliosoma nje ya udsm wanwavika sifa mbaya sana wa udsm kila sehem udsm wanachukiwa sijajua kwann kila sifa mbaya ni yao aiseee tusiwekeane chuki kisa tofauti ya vyuo tulivosoma tupige kazi
No offense, UDSM ni kioo cha elimu ya juu Tz, leo ktk kipindi cha bunge ile kamati ya madini sijui iliyokuwa na wadau wa maeneo mbalimbali ikiwemo wana sheria, kadhaa walijitambulisha kama wa udsm, ni pathetic!!Ni mwanafunzi anaye elewa alichokisomea na mwenye kujitambua si kama hawa wanafunzi wetu wa UDSM, wao kila kitu ni kukariri tu na hawajitambui.