Nini maana ya Competent student?

Nini maana ya Competent student?

Competent student can be defined as the Joseverest a JF member who used to be and still the very very first to contribute in any thread created in JF.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vp kijana,, naona asaivi shule inazidi kukuchanganya tu....
 
Sio chuki mkuu, ulishaona mwanafunzi wa UDSM anajitambua? Mtu anamaliza shule hajuwi anachokifanya, maana hawana ujuzi/uwezo wa kufikiri outside the box.
Mkuu yaan unaonesha wazwaz ulivo na chuki sana Ina maana wanafunz wa udsm hawajitambui??? Mkuu hivi unachokiongea unakielewa lakini hivi unaweza maliza kusoma usijue nini unachofanya... NB; 90% ya watu waliosoma nje ya udsm wanwavika sifa mbaya sana wa udsm kila sehem udsm wanachukiwa sijajua kwann kila sifa mbaya ni yao aiseee tusiwekeane chuki kisa tofauti ya vyuo tulivosoma tupige kazi
 
Udsm ilikuwa ya karne ya 20 sahizi imebaki story
 
Ni mwanafunzi anaye elewa alichokisomea na mwenye kujitambua si kama hawa wanafunzi wetu wa UDSM, wao kila kitu ni kukariri tu na hawajitambui.
Mmetoka nje ya mada acheni kubishana mashudu jibuni swali[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Sio chuki mkuu, ulishaona mwanafunzi wa UDSM anajitambua? Mtu anamaliza shule hajuwi anachokifanya, maana hawana ujuzi/uwezo wa kufikiri outside the box.

Awe fast kama joseverest
 
eti competent student ana sifa zipi?
Ni mwanafunzi ambae ana uelewa wa juu/mzuri kwa alichosomea kwa nadharia na vitendo, na ana uwezo wa kupambana/kushindana kiuwezo na wanafunzi wenzie wa fani moja ila wanaotoka either vyuo tofauti au mpaka nchi tofauti
 
Mkuu yaan unaonesha wazwaz ulivo na chuki sana Ina maana wanafunz wa udsm hawajitambui??? Mkuu hivi unachokiongea unakielewa lakini hivi unaweza maliza kusoma usijue nini unachofanya... NB; 90% ya watu waliosoma nje ya udsm wanwavika sifa mbaya sana wa udsm kila sehem udsm wanachukiwa sijajua kwann kila sifa mbaya ni yao aiseee tusiwekeane chuki kisa tofauti ya vyuo tulivosoma tupige kazi

Kweli wanasemwa kila sehemu mwanafunzi mmoja tu wa udsm akiwa kilaza basi yeyote anayetoka udsm ataitwa kilaza wana chuki na watu kutoka udsm kutoka na wanotoka udsm kuwadharau wa vyuo vingine mfano wanaotoka udsm wanaviita vyuo vingine vyuo vya kata
 
Ni mwanafunzi anaye elewa alichokisomea na mwenye kujitambua si kama hawa wanafunzi wetu wa UDSM, wao kila kitu ni kukariri tu na hawajitambui.
No offense, UDSM ni kioo cha elimu ya juu Tz, leo ktk kipindi cha bunge ile kamati ya madini sijui iliyokuwa na wadau wa maeneo mbalimbali ikiwemo wana sheria, kadhaa walijitambulisha kama wa udsm, ni pathetic!!
 
Wanafunzi wa udsm huwa wanajiita wana akili...Mtaani kwetu wapo wawili toka wamalize chuo mwaka juzi wapo tu wanapaka wanja
 
Back
Top Bottom