Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Mkuu yaan unaonesha wazwaz ulivo na chuki sana Ina maana wanafunz wa udsm hawajitambui??? Mkuu hivi unachokiongea unakielewa lakini hivi unaweza maliza kusoma usijue nini unachofanya... NB; 90% ya watu waliosoma nje ya udsm wanwavika sifa mbaya sana wa udsm kila sehem udsm wanachukiwa sijajua kwann kila sifa mbaya ni yao aiseee tusiwekeane chuki kisa tofauti ya vyuo tulivosoma tupige kazi
No offense, UDSM ni kioo cha elimu ya juu Tz, leo ktk kipindi cha bunge ile kamati ya madini sijui iliyokuwa na wadau wa maeneo mbalimbali ikiwemo wana sheria, kadhaa walijitambulisha kama wa udsm, ni pathetic!!
[emoji23] [emoji23] mashudu.Mmetoka nje ya mada acheni kubishana mashudu jibuni swali[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]