Nini maana ya Competent student?

Nini maana ya Competent student?

Mkuu yaan unaonesha wazwaz ulivo na chuki sana Ina maana wanafunz wa udsm hawajitambui??? Mkuu hivi unachokiongea unakielewa lakini hivi unaweza maliza kusoma usijue nini unachofanya... NB; 90% ya watu waliosoma nje ya udsm wanwavika sifa mbaya sana wa udsm kila sehem udsm wanachukiwa sijajua kwann kila sifa mbaya ni yao aiseee tusiwekeane chuki kisa tofauti ya vyuo tulivosoma tupige kazi


Siwachukii wanafunzi wa UDSM bali naongea fact. Nimesoma miaka miwili UDSM bahati nzuri nilipelekwa Afrika Kusini kumalizia masomo yangu ndipo nikaona tofauti ya elimu ya kukariri na practical, kuna tofauti kubwa sana....muulizie yeyote atakuambia hivyo.
 
No offense, UDSM ni kioo cha elimu ya juu Tz, leo ktk kipindi cha bunge ile kamati ya madini sijui iliyokuwa na wadau wa maeneo mbalimbali ikiwemo wana sheria, kadhaa walijitambulisha kama wa udsm, ni pathetic!!


Mimi sina hamu na UDSM mpaka elimu ya Tanzania ibadilishwe.....really pathetic.
 
Mada imehamia UDSM[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom