Nitakuelekeza kwa mfano ili uelewe vizuri
Suppose wewe una duka la jumla la vifaa vya ujenzi,umemuuzia mteja wako quantity flani ya bidhaa,so baada ya kusupply mzigo baadae unakuja kugundua kuwa badala ya kusupply let's say 20 units wewe ulisupply 25 units, so ili kumfanya huyo mteja akurudishie hizo 5 units zilizozidi itakubidi umtumie document inayoitwa credit note ikionyesha quantity ya mzigo uliozidi na thamani yake.
So kwa kifupi ni document inayotoka kwa muuzaji kwenda kwa mteja.pia kuna debit note yenyewe inatoka kwa mteja kwenda kwa muuzaji.