Nini maana ya Credit Note?

Nini maana ya Credit Note?

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Habari ndugu,

Naomba kujua maana ya terminology hio CREDIT NOTE inatumika sana upande wa manunuzi procurement.

Naomba mwenye kujua anijuze tafadhari
 
Habari ndugu..naomba kujua maana ya terminology hio CREDIT NOTE..inatumika sana upande wa manunuzi procurement..naomba mwenye kujua anijuze tafadhari
Credit note ninavyojua ni mzigo au bidhaa iliyopaswa kwenda kwa mteja na haikwenda Tena.

Unaweza kuta ulitoa invoice ya mteja kimakosa na huwezi tumia kwa mteja mwingine hivyo utalazimika ku credit kiasi na bidhaa ile ile ili kwenye ledger ya mteja au customer statement iwe na uwiano sawa........ HII NI KWA MIMI NINAYETUMIA TALLY ACCOUNTING PACKAGE....... SIJAJUA KWA OTHER BUSNESS RELATED CREDIT NOTE INAHUSIANA NA NN ?
 
Nitakuelekeza kwa mfano ili uelewe vizuri
Suppose wewe una duka la jumla la vifaa vya ujenzi,umemuuzia mteja wako quantity flani ya bidhaa,so baada ya kusupply mzigo baadae unakuja kugundua kuwa badala ya kusupply let's say 20 units wewe ulisupply 25 units, so ili kumfanya huyo mteja akurudishie hizo 5 units zilizozidi itakubidi umtumie document inayoitwa credit note ikionyesha quantity ya mzigo uliozidi na thamani yake.
So kwa kifupi ni document inayotoka kwa muuzaji kwenda kwa mteja.pia kuna debit note yenyewe inatoka kwa mteja kwenda kwa muuzaji.
 
Credit note ..sellers note to buyer kuomba kilichozidi. Kinyume chake ni debit note...kutoka kwa buyer kwenda kwa muuzaji kwamba kapunjwa halisi ya demand yake. (Nimejaribu kwa lugha rahisi pengine)
 
Back
Top Bottom