Nini maana ya dating?

Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?

To do an activity with someone you might have a romantic relationship with.
 
Is it da first step in relationship?
 
Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?

Lets go out for a blind date then i will explain t to u.
 
Is it da first step in relationship?

I never had a date, but here is what I understand about dating.
Dating is exactly what u have said, its a first step in a relationship, lakini kuwa in a date with someone it doesn't mean mtakuwa in a relationship after dating.
Katika dating ndipo wale wawili wanapotumia nafasi hiyo kufahamiana vizuri na kujua kama yule mwenzako anaendana nawe au la, we can say dating is a pre-relationship.
 
datin: kukisia umri wa kitu kwa njia mbali.mbali, mojawapo ikiwa radiometric (C14)
 

Very true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…