Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?
To do an activity with someone you might have a romantic relationship with.
ni kuhesabu tarehe, mambo ya calender
ni kuhesabu tarehe, mambo ya calender
mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? Na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?
Is it da first step in relationship?
Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?
Is it da first step in relationship?
Kweli English ngumu na maana yake waachie wenye lugha yao
Kibongo bongo ukisikia dating .. jua vyombo vinataka kwenda kusuguana
I never had a date, but here is what I understand about dating.
Dating is exactly what u have said, its a first step in a relationship, lakini kuwa in a date with someone it doesn't mean mtakuwa in a relationship after dating.
Katika dating ndipo wale wawili wanapotumia nafasi hiyo kufahamiana vizuri na kujua kama yuke mwenzako anaendana nawe au la, we can say dating is a pre-relationship.
Hahahahaha usinivunje mbavu zangu mie
Kweli English ngumu na maana yake waachie wenye lugha yao
Kibongo bongo ukisikia dating .. jua vyombo vinataka kwenda kusuguana
mkuu naona umetafsiri kama ilivyo..........
Mambo ya calendar kivipi? darasan?