Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?
Best nimekumiso ujue
Yaan umwambie mtu kuwa eti dating ni pre relationship ..
Mnaweza onana kuongea na kuondoka wachache wataelewa
Kweli English ngumu na maana yake waachie wenye lugha yao
Kibongo bongo ukisikia dating .. jua vyombo vinataka kwenda kusuguana
Ku date ni ku socialize na mtu ambae una interest nae kimapenzi...
Lets go out for a blind date then i will explain t to u.
Dating..... two people in an intimate relationship.
Sasa blind date ndo nini tena?
Tpaul umesema ni aina ya ukahaba, ila mimi nikiangalia movie za korea huwa naona wanavyolitumia ni tofauti na ukahaba
Kumbe umeshaona kwny movie halafu unakuja kuuliza
hehehehe ww duniani unajua kitu gan?
Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?
kuchat
Haya njoo pm
Kwenye simu au?
Kweli English ngumu na maana yake waachie wenye lugha yao
Kibongo bongo ukisikia dating .. jua vyombo vinataka kwenda kusuguana