tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?
Mkuu, dating ni ukahaba wa mtandaoni---kwa mfano, huku kwetu utawakuta makahaba wamesimama barabarani Buguruni, Kinondoni Makaburini, Sinza, Kwa Macheni, Kwa Mtogole, Ohio,nk lakini kule Ulaya, malaya huweka taarifa zaoa mtandaoni ili anayewahitaji awaendee walipo--badala ya kusimama barabarani kibongobongo. Umeona eeh?