Nini maana ya DINOZO

menyidyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
1,339
Reaction score
194
Natakiwa kujibu hilo nipate kazi. Je ni kitu gani au mdudu gani?
 
menyidyo said:
nini maana ya DINOZO
Neno Dinozo, limetokana na jina DiNozzo ambaye ni fictional character wa kwenye tamthilia ya NCIS.

Dinozo: Ni kitendo cha kumpiga mtu kibao (slap) nyuma ya kichwa chako usawa wa shingo.

Kitendo cha kupigwa kibao (slap) nyuma ya shingo, kitendo iki kimeigwa pale jamaa alipompiga DiNozzo kibao nyuma ya shingo kwa sababu alifanya jambo la kijinga, ndio likapatikana ilo neno Dinozo.
 
Nafikiri huyu jamaa atakuwa anamaanisha yule mnyama anaitwa dinosaur...hajapata kutokea
 
Inasemekana kuwa ndio wanyama wa kale zaidi ambao walikuwa ni vyanzo vya Reptilia na ndege kama vile kangaroo. wadau hii nayo imekaaje?
sure ni kweli ni dinosaur. asanteni sana.
 
sure ni kweli ni dinosaur. asanteni sana.

Dinosaurs (from Greek: δεινός terrible and σαύρα lizard) are a diverse group of animals that were the dominant terrestrial vertebrates for over 160 million years, from the late Triassic period (about 230 million years ago) until the end of the Cretaceous (about 65 million years ago), when the Cretaceous–Paleogene extinction event led to the extinction of most dinosaur species at the close of the Mesozoic era.

From: Dinosaur - Wikipedia, the free encyclopedia

Nafikiri huyu jamaa atakuwa anamaanisha yule mnyama anaitwa dinosaur...hajapata kutokea

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…