plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
Nini maana ya Domo Zege? Utafanya nini uondokane na udomo zege?
Domo zege ni ile hali ya kushindwa kumtongoza manzi ambaye unamtamani ila huwezi kumwambia. Ni kama umefungiwa jiwe ambalo lina kilo nyingi mdomoni kiasi kwamba linakusababisha uogope au ushindwe kuzungumza.
JINSI YA KUONDOKANA NA UDOMO ZEGE.
1. Zungumza na watu tofauti tofauti.
Jichanganye na watu uongee upunguze hizo kilo mdomoni.
2. Acha uwoga.
Ukiona manzi umemwelewa, fukuzia usianze kujiuliza uliza itakuwaje.
3. Jiamini.
Unatakiwa ujikubali unaweza kumuwin mwanamke yeyote.
4. Kuwa na marafiki wengi wa kike.
Hii itakufanya usiwaogope, na kama wewe ni domo zege wa kike kuwa na marafiki wengi wa kiume.
Add comment:
Click video kujifunza zaidi