Nini maana ya furaha, ni kuacha Legacy

Nini maana ya furaha, ni kuacha Legacy

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Kuna Goals au (Malengo) unayawaza kuyafikia lakini I promise you unaweza kufika still ukakosa Furaha

Kitu gani nataka kusema kuwa na kila kitu bado sio kupata furaha.

Furaha ni kuacha Legacy na kuhakikisha unakuwa na Athari chanya katika Familiya yako Jamii na Taifa kwa ujumla.

Jifunze Kujitofautisha
Kuwa smart
Vaa vizuri nguo safi
Sali Sana
Kaa mbali na ulevi na Uzinzi

Saidia Sana kwa namna Mungu* alivyokubariki

Materials things is not an Everything

Life is about donation and not duration (Maisha Ni kuwagusa watu na sio kuishi miaka Mingi)
 
Fanya kile unafurahia, nisinywe bia ili kuacha legacy, BIG NO.
 
Back
Top Bottom