Nini maana ya hii "Ngozi ya chini inayoshikiria jicho kucheza"?

Nini maana ya hii "Ngozi ya chini inayoshikiria jicho kucheza"?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Habari,

Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
 
Hiyo ni misuli inacheza na huwa inatulia yenyewe.. Itakuwa:
  • Umekuwa ukikosa usingizi unaotakiwa kwa kazi nyingi au una msongo wa mawazo.....
  • Au umepiga sana vinywaji vyenye Caffeine katika siku za karibuni...
 
Back
Top Bottom