Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 4,493 Reaction score 5,591 Mar 10, 2023 #1 Habari, Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
Habari, Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
SankaraBoukaka JF-Expert Member Joined Jul 2, 2019 Posts 1,213 Reaction score 1,918 Mar 10, 2023 #2 Hiyo ni misuli inacheza na huwa inatulia yenyewe.. Itakuwa: Umekuwa ukikosa usingizi unaotakiwa kwa kazi nyingi au una msongo wa mawazo..... Au umepiga sana vinywaji vyenye Caffeine katika siku za karibuni...
Hiyo ni misuli inacheza na huwa inatulia yenyewe.. Itakuwa: Umekuwa ukikosa usingizi unaotakiwa kwa kazi nyingi au una msongo wa mawazo..... Au umepiga sana vinywaji vyenye Caffeine katika siku za karibuni...