Nini maana ya hili neno pale Azam sports

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi

GWxk-YAXwAExo1l.jpeg
 
Ilikuwaje hadi ukafanikiwa kuwa na simu janja na ukafungua akaunti JF.
Kwasasa JF sio tena home of great thinkers . Kuanzisha uzi tu imekuwa simpo sana . Kuna mtu hata akifika choo cha stendi hataki kusoma wapi wanaume wapi wanawake bali anaingia jf na kuuliza ' nipo choo cha stendi msamvu wapi wanawake wapi wanaum"?.

Location. Tubuyu Morogoro
 
Sawa
 
Binafsi nilikuwa najua HD maana yake 5imba 1 - 5 Yanga
 
Watumiaji wa mitandao ya simu wanaptanana na wewe kwa kiingereza wanaitwa Troll.
 
Back
Top Bottom