MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
- Thread starter
- #21
Mbona haujaeleweka mkuuWatumiaji wa mitandao ya simu wanaptanana na wewe kwa kiingereza wanaitwa Troll.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona haujaeleweka mkuuWatumiaji wa mitandao ya simu wanaptanana na wewe kwa kiingereza wanaitwa Troll.
Ah kumbe!Maana yake uto kukodishwa na Mhindi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰Ahsante mkuu, ina uhusiano wowote na hiyo 1 - 5 🖐
Sidhani kama watakuelewa Wenye IQ ndogo!Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
View attachment 3089472
Ujaelewa dhumuni la mleta uziIlikuwaje hadi ukafanikiwa kuwa na simu janja na ukafungua akaunti JF.
Kwasasa JF sio tena home of great thinkers . Kuanzisha uzi tu imekuwa simpo sana . Kuna mtu hata akifika choo cha stendi hataki kusoma wapi wanaume wapi wanawake bali anaingia jf na kuuliza ' nipo choo cha stendi msamvu wapi wanawake wapi wanaum"?.
Location. Tubuyu Morogoro
Yanga tuliwapiga 5:1 wakati wa emanueli Okwi na hatukuweka mabango.Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
View attachment 3089472
Hayo unayoyazungumza Yanga walishateseka sana kuanzia msimu wa 2018, 2019, 2020 na 2021. Tena Yanga walitendewa mambo makubwa na mazito kuliko hayo unayoyazungumzia maana ilifika hatua mpaka Rais wa TFF akajiweka hadharani ushabiki wake kwa 5imba. Kwa hiyo mkuu hiyo ni kawaida tu hamna jipyaYanga tuliwapiga 5:1 wakati wa emanueli Okwi na hatukuweka mabango.
Tuliwapiga 4:1 wakati wa Luis Miqueson hatukuweka mabango.
Tuliwapiga 6:0 wakati wa Kibadeni akiondoka na hart tric hatukuweka mabango.
Miaka 25 Yanga hakuwahi kuingia makundi ya Championi League Afrika hatukuweka Mabango.
Walikuwa wanawapokea Wapinzani wetu uwanja wa ndege Hadi wakawa wanawaibia simu hatukuweka Mabango.
Wakawa wanatangaza kuwa tunawawekewa sumu Wapinzani watu wa ligi ya kimataifa hatukuweka mabango.
Wametuibia Chama wakaweka Mabango
Tulipomchukua Niyonzima walichoma jezi zake hadharani.
Tulinvyo mchukua Morison you walichoma jezi zake hadharani.
Wamemchukua kipenzi chetu Chama kwa Hila hakuna Mwanasimba kachoma jezi zake hadharani.
Ligi hii tuliwaachia wachague uwanja wakachagua wa Azam kwa shinikizo la kipenzi chao mmiliki mtoto
Sisi wanyonge tukaenda uwanja wa KMC, wakaona wivu na kuamua nao wacheze huko huku wakifukia ndumba hadharani Simba tupo kimya tu.
Hii ndio Yanga origino ambayo wanashindwa hata kujaza uwanja siku ya Yanga Day na kuamua kuwaingiza washabiki bure na kuwapa supu na kuwagawia tiketi za bure nazo haijawahi kuujaza uwanja.
Hii ndiye Yanga Yangu.
Kwahiyo miaka 25 bila kuingia makundi Club Bingwa Afrika ni njama za Simba na TFF ?Hayo unayoyazungumza Yanga walishateseka sana kuanzia msimu wa 2018, 2019, 2020 na 2021. Tena Yanga walitendewa mambo makubwa na mazito kuliko hayo unayoyazungumzia maana ilifika hatua mpaka Rais wa TFF akajiweka hadharani ushabiki wake kwa 5imba. Kwa hiyo mkuu hiyo ni kawaida tu hamna jipya
Simba ni kubwa sana maana wengi walishafungwa hizo 5 ila imesahaulikaWakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
View attachment 3089472
ukisikia LIAJABU LAKWELI ndo hii sasa...D 2 muhimu chetiniWakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
View attachment 3089472