Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 572
- 161
Habari zenu wanajamvi.
Nimefanikiwa kusoma au kuendelea kuiona au kusikia hii kitu inayoitwa Hisa. Na mara nyingi ninasikia hasa kwenye shughuli za kibenki na biashara zingine kubwa kubwa.
Naomba msaada wa kupata elimu kuhusu Hisa ili nipate uelewa na nifaham nawezaje kuwa mdau ktk shughuli za Hisa zinavyoendelea hivi sasa.
Nawasilisha