Nini maana ya hivi vibwagizo?

Nini maana ya hivi vibwagizo?

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Mwanzo nilikutana na "lol" sasa imekuja "mia". Jamani sielewi mwenzenu, ebu anayejua/mwanzilishi afunguke
 
mia-MAMBO SAWA.POA.SAWASAWA.FRESH....iyo lol msubiri NN atakusaidia...
 
lol (laughing out loud) ni online word..ukiwa unachat...
 
Hiyo lol! umeelezwa,mia nimekutana nayo hapa mwanzilishi anaitwa Figganigga ni kama kimalizio kwenye sentensi na wengi tunaitumia tukimjibu au mada anazoanzisha.mia
 
Back
Top Bottom